Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume ya kuwaajiri walimu TSC imelalmikia utelekazaji katika kaunti ya Bungoma kufuatia wanafunzi 11,601, waliokalia mtihani wa KCPE mwaka 2023 waliokosa kujiunga na kidato cha kwanza. Maafisa wa Serikali ya…