Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Makasisi wa Kanisa Katoliki hapa nchini, wamelaani mauaji ya kutatanisha ya Albert Ojwang' yanayodaiwa kutokea katika kituo cha polisi cha Central, Jijini Nairobi. Kupitia kwa taarifa, Baraza Kuu la Makasisi…