Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ndege iliyokuwa na abiria 12, imeanguka Jumanne asubuhi katika kaunti ya Kwale. Halmashauri ya Kusimamia Safari za Ndege Nchini (KCAA) kwenye taarifa fupi Jumanne asubuhi, imesema kuwa ndege hiyo yenye…