Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Abiria katika viwanja vya ndege hapa nchini, wametatizika kufuatia kuanza kwa mgomo wa chama cha wafanyakazi wa sekta ya safari za angani (KAWU), kupinga mipango ya kukodisha shughuli za viwanja…