Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa zamani wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza sasa anadai kuwa wanasiasa wanaume kutoka kaunti hiyo walikula njama ya kisiasa ya kumtimua madarakani. Anasema wanasiasa hao, hawakuficha wajibu waliotekeleza…