Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mashirika matatu yamewasilisha kesi mahakamani dhidi ya waendesha mashtaka wawili katika kesi ya mabwawa ya Arror na Kimwarer. Mashirika ya KHRC, Katiba Institute na Africog yanataka Geoffrey Obiri na Oliver…