Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Balozi tano zimeshirikiana na serikali ya taifa na zile za kaunti katika eneo la Kaskazini Mashariki, kushughulikia ukosefu wa usalama na changamoto za kimaendeleo. Uingereza, Marekani, Muungano wa ulaya, Benki…