Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wagombeaji wawili wa kiti cha ubunge cha Kasipul wametozwa faini ya shilingi milioni moja kila mmoja na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC). Philip Aroko ambaye ni mfanyabiashara na…