Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mfanyabiashara maarufu mitandaoni nchini Tanzania Jenifer Jovin Bilikwija maarufu kama Niffer na mtangazaji wa redio Diva Gissele Malinzi wamekamatwa na maafisa wa polisi. Kosa la wawili hao ni kuchangisha fedha…