Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kiongozi wa chama cha Wiper Stephen Kalozo Musyoka, Ijumaa alasiri alizuru nyumbani kwa aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, kuomboleza na Mama Ida na familia yake. Kalonzo alimtaja Raila kuwa kiongozi…