Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kanisa limetakiwa kushirikiana na serikali kuwaelimisha Wakenya kuhusu fursa mbalimbali zinazotokana na mipango ya maendeleo inayotekelezwa na utawala wa Kenya Kwanza. Mkewe Rais Rachel Ruto ameangazia fursa zinazotokana na mipango…