Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wizara ya Afya imezindua kampeni ya kitaifa inayolenga kukabiliana na matumizi yanayoongezeka ya mihadarati nchini. Katibu katika Wizara hiyo Mary Muthoni anasema kampeni hiyo hasa italenga maeneo ambayo yameathiriwa mno…