Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mabalozi tisa wanaowakilisha nchi mbalimbali za kigeni wamesitisha kimya chao na kulalamikia visa vinavyoongezeka vya watu kutekwa nyara kiholela na kupotea humu nchini. Hii ni licha ya mahakama awali kutoa…