Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kamati ya bunge la Seneti kuhusu Kilimo imeelezea wasiwasi kuhusu unyakuzi wa ardhi iliyokusudiwa kwa utafiti wa kilimo humu nchini. Kamati hiyo imesema; shirika la utafiti wa kilimo na mifugo humu nchini (KALRO) ndilo lililoathiriwa mno huku ikibaini…