Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakazi wa kaunti ndogo ya Kajiado Magharibi wanakabiliwa na mchipuko wa ugonjwa wa Kala Azar, ambao unasemekana kusambaa katika maeneo mengi ya eneo hilo kame. Ugonjwa wa Kala Azar unaosababishwa…