Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali imeweka mikakati ya kuwarejesha kambini wakimbizi 3,054 waliotoroka kutoka kambi ya Kakuma na kuhamia kaunti ndogo ya Ruiru. Yamkini wakimbizi hao walitoroka kambi hiyo baada ya jamii mbili kufarakana…