Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwili wa Askofu mstaafu wa Kanisa Katoliki, jimbo la Kakamega, marehemu Phili Sulumeti, umewasili katika Parokia Kuu ya Jimbo la Kakamega leo Alhamisi usubuhi. Awali, mwili huo ulibebwa kwa ndege…