Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mahakama ya Kabarnet imemhukumu mwanamume kifungo cha miaka 30 gerezani kwa kuwadhulumu kimapenzi watoto wawili, mmoja mwenye umri wa miaka minne na mwingine mitatu. Makosa hayo yanadaiwa kutekelezwa Agosti 12,2024…