Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mhubiri tata Paul Mackenzie na washtakiwa wenzake 29 wamekanusha mashtaka ya mauaji ya watoto 191 ambao miili yao ilifukuliwa kutoka kwenye msitu wa Shakahola. Washukiwa hao walikana mashtaka hayo mbele…