Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mazishi ya hakimu mwandamizi aliyeuawa kwa kupigwa risasi akiwa kazini katika mahakama ya Makadara Monica Kivuti yameandaliwa Machakos. Kivuti alifariki Jumanne wiki jana akipokea matibabu katika Hospitali ya Nairobi baada…