Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwanasheria Mkuu Justin Muturi aliwasilisha mahakamani taarifa ya kupinga uamuzi wa mahakama kuu uliotolewa juzi Jumatatu na ambao ulibatilisha uteuzi wa nawaziri wasaidizi 50 uliotekelezwa na Rais William Ruto. Kesi…