Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Jaji wa mahakama kuu David Majanja amefariki. Kifo chake kilijiri leo Jumatano Julai 10, 2024, baada ya upasuaji aliofanyiwa katika hospitali ya Nairobi. Jaji Majanja amekuwa akihudumu katika mahakama kuu…