Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume ya kuwaajiri walimu nchini TSC itatangaza nafasi za kazi kwa walimu 20,000 wa shule za Junior secondary kwa mikataba. Zaidi ya walimu laki moja wanatarajiwa kutuma maombi kwa kazi…