Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Elimu Julius Ogamba, amezindua rasmi Baraza jipya la Chuo Kikuu cha Nairobi, ambapo aliwataka wanachama wake kushirikiana, kuheshimu mipaka ya kitaasisi, na kujiepusha na udhibiti usiostahili wa usimamizi…