Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa elimu Julius Migos Ogamba, amekariri kujitolea kwa serikali kuwekeza zaidi katika taasisi za kiufundi za TVET, akizitaja nguzo muhimu kwa ukuaji wa uchumi. Ogamba aliyezungumza wakati wa sherehe…