Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Pande husika kwenye mchakato wa amani nchini Sudan kusini zimekubaliana kurejelea mashauriano ya upatanishi jijini Nairobi ili kushughulikia maswala yaliyosalia. Mkataba huo uliafikiwa wakati wa mkutano wa maafisa wa ngazi…