Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Fedha John Mbadi amebadili msimamo wake wa awali kwamba hakukuwa na fedha za kutosha kuajiri walimu wa Junior Secondary kwa masharti ya kudumu. Mbadi aliyesema wiki iliyopita kwamba…