Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume ya Huduma za Mahakama nchini (JSC) imewaita watu 598 kwa mahojiano ya nafasi 100 za mahakimu wakazi. JSC ilikuwa imetangaza nafasi 100 mwezi Juni mwaka huu za Mahakimu Wandamizi…