Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Joseph Irungu almaarufu Jowie atafahamu kifungo atakachotumikia gerezani Jumatano wiki ijayo, saa tano na nusu asubuhi. Hii ni baada ya awali Jaji Grace Nzioka kumpata na hatia ya kumuua mfanyabiashara…