Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amebuni jopokazi ambalo limekabidhiwa jukumu la kubaini ni kiasi gani cha fedha ambazo nchi hii inadaiwa. Kumekuwa na taarifa ambazo hazijathibitishwa zinazoashiria kwamba deni la taifa kwa…