Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Katibu katika idara ya ustawi wa mifugo Jonathan Mueke, ametetea Mswada wa ufugaji wa mwaka 2024, akiwahakikishia wafugaji kuwa unanuiwa kuimarisha ubora wa aina ya mifugo nchini. Akiongea katika eneo…