Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Jamaa na marafiki wa marehemu John Okafor mwigizaji wa filamu za Nollywood wametoa taarifa ya kuomba msaada wa kifedha kwa ajili ya mazishi yake miezi kadhaa baada ya kifo chake.…