Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa idara ya kukabiliana na ulanguzi wa mihadarati nchini (ANU), wamemkamata mshukiwa wa ulanguzi wa mihadarati, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA). Muli Ayan Ndunge…