Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kaimu Katibu Mkuu wa chama Jubilee Kanini Kega amemtuhumu aliyekuwa mbunge wa Ndaragwa Jeremiah Kioni kwa kuidharau mahakama. Chama hicho kimegawanyika mara mbili huku mrengo wa Kega ukiongozwa na mbunge…