Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Inspekta Mkuu wa Polisi, IG Japhet Koome ametoa hakikisho la usalama kwa maafisa wote wa idara ya mahakama kote nchini. Koome ametoa taarifa hiyo kufuatia kuawa kwa Hakimu Mkuu Monica…