Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Jaji Mkuu Martha Koome amelaani matumizi ya nguvu kupita kiasi yaliyoshuhudiwa wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha 2024. Polisi katika siku za hivi majuzi wameshutumiwa kwa kutumia nguvu…