Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Seneta wa kaunti ya Uasin Gishu Jackson Mandago anatarajiwa kufikishwa mahakamani Nakuru leo Alhamisi, Agosti 17, kujibu mashtaka kadhaa ya ufisadi. Mandago na wenzake wawili wanakabiliwa na mashtaka ya wizi…