Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Hamas imerejesha miili ya mateka wengine wanne waliofariki, Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limesema. Shirika la Msalaba Mwekundu lilichukua mabaki hayo kwenye majeneza na kuyakabidhi kwa wanajeshi wa Israel…