Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwanamuziki wa Tanzania Diamond Platnumz ambaye jina lake halisi ni Naseeb Abdul leo amekutana na Mzee Makosa na kumtunukia zawadi ya shilingi milioni 10, pesa za Tanzania. Diamond ambaye ni…