Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amekariri kujitolea kwa serikali ya Kenya kuboresha mazingira ya michezo kwa wakimbizi nchini kupitia ujenzi wa miundo msingi na vifaa vya michezo . Rais amesema serikali itashirikiana…