Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Msemaji huyo wa serikali alikuwa akizungumza katika afisi za chama cha wasio na uwezo wa kuona jijini Nairobi jana katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya walemavu.