Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Klabu ya Inter Miami inayoshiriki ligi kuu nchini marekani MLS,imeandaa dhifa ya kumtuza mshambulizi na nahodha wa Argentina Lionell Messi kwa mataji 45 aliyotwaa . Hafla hiyo imeandaliwa mapema Jumapili…