Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wizara ya Fedha ya Uganda imetangaza mpango wa kukopa dola milioni 150 kutoka kwa benki ya Exim ya China ili kuendeleza miundombinu ya intaneti nchini humo. Waziri wa Habari, Mawasiliano…