Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Baadhi ya wawakilishi wadi katika kaunti ya Nyandarua wamejitenga na mjadala unaotarajiwa wa kumbandua mamlakani Gavana Moses Kiarie maarufu kama Badilisha. Wakizungumza katika bunge la kaunti hiyo ya Nyandarua, wawakilishi…