Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua, amewataka wabunge watumie kasi waliyotumia kumbandua madarakani, kupitisha mswada wa Kahawa wa mwaka jana. Gachagua alikuwa akihutubia umati uliokuwa ukihudhuria mazishi huko Gichugu katika kaunti…