Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto leo Jumanne amekutana na kumuaga Balozi wa Marekani nchini Kenya anayeondoka Meg Whitman. Whitman alitangaza kujiuzulu kwake kama Balozi wa Marekani humu nchini Novemba 13 mwaka huu.…