Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa watatu wanawania kiti cha Inspekta Mkuu wa Polisi kumrithi Japhet Koome aliyejiuzulu wiki iliyopita. Watatu hao ni pamoja na kaimu Inspekta Mkuu Douglas Kanja,Kamanda wa chuo cha mafunzo ya…