Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Idara ya Mahakama imesitisha kimya chake na kulaani vikali idadi inayoongezeka ya visa vya ukatili wa polisi unaofanywa bila sababu za msingi humu nchini. Aidha idara hiyo, kupitia kwa msemaji…