Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Viongozi wa kijeshi wa mataifa ya Niger, Mali na Burkina Faso, wametia saini mkataba mpya wa ushirikiano, katika hatua inayoashiria kujiondoa kwa nchi hizo kwenye miungano ya zamani. Abdourahamane Tchiani…