Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ian Njoroge, ambaye anadaiwa kumshambulia afisa wa polisi wa trafiki katika barabara ya Kamiti, ameachiliwa na mahakama kwa dhamana ya shilingi 700,000. Hakimu mkuu mwandamizi wa mahakama ya Milimani Ben…